- 295 viewsDuration: 2:19Kinara wa chama cha UGM David Maraga, amewaahidi wakenya kuwa atavipa kipaumbele vita dhidi ya ufisadi ikiwa watampa nafasi ya kuliongoza taifa kwenye uchaguzi wa mwaka ujao. Magara akiutaja ubadhirifu wa fedha za umma kuwa kizingiti kikubwa kwa huduma bora. Amezungumza alipozuru kaunti ya Migori leo .