2 Feb 2026 7:36 pm | Citizen TV 412 views Duration: 1:18 Kinara wa chama cha United Green Movement, David Maraga amekemea shambulizi dhidi ya waumini na wanasiasa, lililotokea wiki iliyopita katika kanisa la ACK Witima huko Othaya kaunti ya Nyeri.