Marehemu jenerali Ogolla aombolezwa kuwa kiongozi shupavu, mkarimu na jasiri

  • | KBC Video
    70 views

    Sifa nyingi zilimiminika katika hafla ya kutoa heshima za kijeshi kwa marehemu mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogola iliyoandaliwa leo katika uwanja wa michezo wa Ulinzi huko Lang’ata, kaunti ya Nairobi. Rais William Ruto aliwaongoza viongozi wa tabaka mbalimbali katika sherehe hiyo ya Jenerali mwenye nyota Nne na kumtaja kuwa kiongozi mwenye maono, kamanda madhubuti, aliyeshughulikia majukumu yake ya kijeshi na familia kwa usawa. Kifo chake kilitajwa kuwa pigo kubwa kwa familia na taifa kutokana na kujitolea kwake kwa mafanikio ya kijeshi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive