- 3,353 viewsDuration: 2:44Marehemu mbunge Johana Ng'eno amezikwa nyumbani kwake mogondo huko Emurua Dikirr. Rais William Ruto aliwaongoza viongozi mbalimbali kufariji familia za watu watano waliofariki kwenye ajali ya ndege. Rais amemtaja Ng'eno kama kiongozi aliyechangia pakubwa maendeleo ya aliowawakilisha.