5 Mar 2026 10:23 am | Citizen TV 14,144 views Duration: 1:28 Marekani na Israel zinaendeleza mashambulizi dhidi ya Iran, huku ikiarifiwa kuwa kufikia sasa takriban watu 1,045 wameuwawa nchini humo tangu Jumatano.