Marekani na Uingereza yafanya mashambulizi kadhaa Yemen
Kanda ya video iliyopokelewa na Reuters na kuisambaza Alhamisi (Januari 18) ilionyesha mlipuko katika mji wa Dhamar, Yemen wakati wa usiku. Reuters haijaweza kuthibitisha muda ambao video hiyo ilichukuliwa.
Shirika la habari linalodhibitiwa na kikundi cha Wahouthi lilisema Alhamisi kuwa ndege za Marekani na Uingereza zilishambulia maeneo kadhaa ya Yemen, ikiwa ni mikoa ya Hodeidah, Taiz, Dhamar, al Bayda and Saada. kikundi cha waasi hao kimeorodheshwa na serikali ya Marekani ni jumuiya ya magaidi.
Marekani iliendesha mashambulizi mengine kadhaa dhidi ya malengo ya Wahouthi huko Yemen Jumatano (Januari 17) maafisa wa Marekani waliiambia Reuters.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.