- 43,396 viewsDuration: 1:57Marekani imeishambulia Venezuela usiku wa kuamkia Jumamosi na kumkamata Rais Nicolás Maduro pamoja na mkewe. Maduro amepelekwa Marekani kwa mashtaka ya dawa za kulevya , lakini Maduro amekamatwaje na operesheni ilipangwa namna gani? Haya ni kwa ufupi - -#bbcswahili #marekani #venezuela #dawazakulevya #maduro Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw