- 17,572 viewsDuration: 3:29Serikali ya Marekani sasa inasema inaangazia upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ati ati ya uchaguzi iliyoshuhudiwa nchini humo hivi majuzi. Serikali ya rais Donald Trump ikiilaumu tanzania kwa kuendelea na ukandamizaji wa uhuru wa dini na kujieleza pamoja na dhulma dhidi ya raia. Haya yanajiri huku polisi nchini Tanzania wakitoa onyo dhidi ya maandamano yaliyopangiwa desemba tarehe 9.