- 3,306 viewsDuration: 1:22Milipuko mikali imetikisa Gaza leo, saa chache baada ya Marekani kwa mara ya sita kuzuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio la kusitisha mapigano, tangu vita kuanza takriban miaka miwili iliyopita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw