- 17,251 viewsDuration: 2:41Mwenyekiti wa kamati ya seneti kuhusu masuala ya kigeni nchini marekani sasa anaitaka Marekani kuiwekea Uganda vikwazo vya kiusalana na kijeshi kufuatia kauli za mkuu wa jeshi wa uganda kwenye mtandao wa x. Jenerali muhoozi kainerubaga alishtumu ubalozi wa marekani na kusema kuwa ulisaidia utekaji nyara wa kiongozi w aupinzani bobi wine, na kutishia kusitisha ushirikiano wa kijeshi na marekani.