Skip to main content
Skip to main content

Marjan Hussein ajiuzulu kama afisa mkuu mtendaji na katibu wa IEBC

  • | Citizen TV
    1,912 views
    Marjan Hussein Marjan amejiuzulu kama afisa Mkuu Mtendaji wa tume ya uchaguzi IEBC na pia kama katibu wa tume. Kwenye taarifa Marjan ambaye amefanya kazi katika tume hiyo tangu mwaka 2015 amesema uamuzi huo uliafikiwa baada ya mashauriano kati yake na maafisa wakuu wa tume hiyo ya uchaguzi