Rais William Ruto amempongeza meja Mstaafu Marsden Madoka kwa kuishi kulingana na kitabu alichokiandika, ambacho kinaelezea safari yake katika utumishi wa umma. Kitabu hicho, kilichozinduliwa leo, kinaangazia safari yake binafsi. Kupitia hadithi yake, Madoka analenga kusimulia kwa kizazi cha sasa historia ya taifa hili na kujitolea mhanga kwa waasisi wa taifa hili ambako kulitoa fursa ya mafanikio ya sasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News