Martha Koome ashutumu fujo na uharibifu wa mali

  • | Citizen TV
    1,747 views

    Jaji Mkuu Martha Koome ameshutumu vurugu lililoshuhudiwa wakati wa maadhimisho ya saba saba hapo jana. Jaji Mkuu Koome akilaani wizi na uharibifu wa mali unaoshuhudiwa kila maandamano yanapofanyika akiwataka wanaoandamana kufanya maandamano yao kwa njia ya amani.