Mary Auma na Jackline Mukanga wamejishindia Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    551 views

    Mary Auma na Jackline Mukanga ndio washindi wa hivi punde wa Shabiki Kaende Jackpot ambao wamepokea zawadi ya shilingi laki tano kila moja baada ya kutabiri mechi 11 kati ya 13 na mechi 12 kati ya 13.