Masaibu ya Gavana Kawira Mwangaza

  • | Citizen TV
    2,144 views

    Notisi ya Mswada wa kumbandua gavana wa Meru Kawira Mwangaza umewasilishwa na kusomwa katika bunge la kaunti ya Meru, ukiorodhesha Mashtaka Mawili dhidi ya gavana Mwangaza.