MCAs wangehudumia wananchi vizuri kama gavana angeacha kuwafunga mikono -Assumpta

  • | TV 47
    32 views

    "Usimamizi wa kaunti ungeboreka zaidi iwapo gavana angewapa MCA nafasi ya kutekeleza wajibu wao. Wawakilishi wa wadi wana ujuzi na uwezo wa kuwahudumia wananchi ipasavyo, lakini kwa sasa wamewekewa mipaka inayowazuia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi." -Assumpta Wangui, Katibu Mkuu, KNFJKA, Nakuru

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __