Mashabiki wa Ivory Coast wakishangilia kuondoshwa Senegal
Frank Kessie amefunga bao la penalty la ushindi kwa taifa ambalo ni wenyeji wa michezo ya AFCON, Ivory Coast wakimchapa bingwa mtetezi Senegal 5-4 na kujipatia tiketi ya kuingia robo fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.
Ilikuwa ni kiki ya pili iliyofuzu ya Kessie katika mechi hiyo baada kuingia uwanjani kama mchezaji mbadala na kusababisha sare 1-1 katika muda wa kawaida pamoja na penalty ya dakika 86 huko Yamoussoukro.
Beki wa Senegal Moussa Niakhate alikosa penalty ya tatu katika kupiga mpira.
Ryan Mendes alifunga penalty ya dakika ya mwisho kwa Cape Verde kufikia robo fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mauritania. - AP
#AFCON #IvoryCoast #Senegal #football #soccer #voaswahili
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.