- 8,143 viewsDuration: 4:44Fainali ya Kombe la Dunia itaandaliwa usiku wa leo nchini Marekani, mabingwa watetezi Argentina wakichuana na Uhispania. Nchini Kenya, mashabiki wa kandanda wanakusanyika katika maeneo mbalimbali kutazama mechi hiyo. Tunaungana na mhariri wetu wa michezo Mike Okinyi kwa maelezo zaidi.