Mashaka ya wachimba makaburi ya Shakahola

  • | Citizen TV
    6,870 views

    Wachimba Kaburi Shakahola Waliohusika Na Kuchimba Makaburi Wazungumzia Hali Baadhi Yao Wanasema Wameathirika Pakubwa Kiakili Wengi Walikuwa Ni Wahudumu Wa Bodaboda Kilifi Waliohusika Kuchimba Makaburi Wahangaika Kimawazo