Mashindano ya dunia ya ulengaji Shabaha

  • | Citizen TV
    240 views

    Mlengaji shabaha nambari moja wa Kenya masta Ibrahim Ndung'u anadhamiria kuishindia kenya dhahabu kwenye mashindano ya dunia ya IPSC ambayo yatafanyika mjini matlosana nchini afrika kusini kati ya septemba tarehe 11 na 28 mwaka huu.