Mashindano ya Safaricom Chapa Dimba yaingia katika fainali ya kanda

  • | Citizen TV
    321 views

    KIPUTE CHA SAFARICOM CHAPA DIMBA KIMEINGIA KATIKA FAINALI YA KANDA. MASHINDANO YA UKANDA WA MAGHARIBI YAKIANDALIWA AGOSTI 26 NA 27 UGANI BUKHUNGU KATIKA KAUNTI YA KAKAMEGA. JUMLA YA TIMU 8 ZA WAVULANA NA WASICHANA WASIOZIDI MIAKA 20 KUTOKA KAUNTI NNE ZA MAGHARABI ZITAMENYANA KUTOA WAWAKILISHI WA FAINALI ZA KITAIFA ZITAKAZOANDALIWA BAADAYE MWAKA HUU.