Skip to main content
Skip to main content

Mashirika 34 nchini Tanzania ya ndege yawekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya

  • | BBC Swahili
    66,328 views
    Duration: 1:38
    Umoja wa Ulaya (EU) umeendeleza vikwazo vya usafiri wa anga dhidi ya mashirika ya ndege kutoka nchi 12 za Afrika, huku mashirika 87 ya ndege yakiwekwa kwenye orodha yake ya usalama wa anga kutokana na wasiwasi kuhusu usimamizi wa viwango vya usalama. #bbcswahili #ndege #eu#tanzaniaairlines #atcl Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw