Mashirika pamoja na wanamazingira katika kaunti ya TaitaTaveta wataka miti ipandwe kando ya mto Voi

  • | Citizen TV
    424 views

    Mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wanamazingira katika kaunti ya TaitaTaveta wametoa changamoto kwa serikali ya kaunti kutimiza ahadi iliyotoa mwaka uliopita ya kupanda na kukuza miti zaidi ya milioni 15 kando ya mto voi . Keith simiyu alizuru baadhi ya maeneo yanayolengwa kupandwa miti na anaarifu zaidi...