Mashirika tofauti yahamasisha viongozi wa vijana Kisii

  • | Citizen TV
    89 views

    Mashirika mbalimbali ya kijamii nchini na Ughaibuni yamekita kambi kaunti ya Kisii kuhamasisha wanafunzi mbalimbali kuhusu maswala ya uongozi, maadili mema katika jamii na jinsi ya kujiepusha na dhulma za kijinsia.