Mashirika ya haki za binadamu yapinga mashtaka ya ugaidi dhidi ya waandamanaji waliokamatwa

  • | Citizen TV
    235 views

    MASHIRIKA MBALIMBALI YA KUPIGANIA HAKI ZA BINADAMU, MAWAKILI NA WAHUDUMU WA AFYA WAMEPINGA MASHTAKA YA UGADI WANAYOFUNGULIWA RAIA WALIOKAMATWA KWA KUHUSIKA KWENYE MAANDAMANO YA JUNI TAREHE 25 NA SABA SABA.MASHIRIKA HAYO YANADAI KWAMBA HATUA HIYO NI UNYANYASAJI KUTOKA KWA SERIKALI KW ALENGO LA KUZIMA SAUTI ZA WAKOSOAJI NA WAANDAMANAJI