Mashirika ya kutetea haki yapinga mazungumzo Mombasa

  • | Citizen TV
    315 views

    Mashirika ya kutetea haki mjini Mombasa yamepinga mchakato wa mazungumzo ya kitaifa yakisema matatizo yanayowakumba wakenya yanatambulika. Kulingana na wanaharakati hao serikali ya kenya kwanza imeshindwa kutekeleza matakwa ya vijana wa gen z licha ya ahadi tele baada ya maandamano ya Juni mwaka jana ikiwemo fidia kwa walioangamia katika maandamano