Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya kutetea yanamtaka waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kujiuzulu

  • | Citizen TV
    267 views
    Mashirika ya kutetea haki Pwani sasa yanamtaka waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kung'atuka mamlakani wakisema ameshindwa kuwapa wakenya usalama baada ya misururu ya mauwaji na makabiliano yanayoshuhudiwa katika baadhi ya maeneo