Mashirika ya utangazaji yamehimizwa kufanya kazi bila woga katika kufahamisha umma

  • | KBC Video
    6 views

    Mashirika ya vyombo vya habari humu nchini yamehimizwa kufanya kazi bila woga katika kufahamisha umma. Akizungumza wakati wa hafla ya mwaka huu ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari jijini Nairobi, mwanasheria Mkuu Justin Muturi aliyapongeza mashirika ya vyombo vya habari kwa kutoa habari za kweli katika ulimwengu uliojaa habari potofu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News