Mashirika yahimizwa kuwekeza katika uchumi samawati

  • | Citizen TV
    124 views

    Vyama vya ushirika pwani vimetakiwa kuekeza katika sekta ya uchumi wa bahari na maziwa nchini ili kuzalisha mapato na nafasi za kazi kwa wakazi.