Mashirika yaiagiza serikali kutekeleza katiba kikamilifu

  • | Citizen TV
    70 views

    Vuguvugu la Katiba Institute linaitaka serikali na viongozi wote kwa jumla kutekeleza katiba kwa ukamilifu. Wamesisitiza kuwa mamlaka yote ni ya mwananchi na hivyo juhudi za kuhakikisha katiba imetekelezwa ni sharti ziendelee.