Mashirika yapeleka chakula Turkana na Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    287 views

    Wakazi wa kaunti ya Pokot Magharibi na Turkana wanaokabiliwa na baa la njaa wanaitaka serikali kuchimba visima ili kufanikisha miradi ya unyunyuzaji maji mashamba