Skip to main content
Skip to main content

Mashtaka ya uhaini dhidi ya Riek Machar

  • | BBC Swahili
    11,285 views
    Duration: 28:10
    Upinzani nchini Sudan Kusini umekashifu vikali mashtaka ya uhaini na mauaji ambayo yanamkabili Naibu Rais wa kwanza wa nchi hiyo Riek Machar, ukisema yamechochewa kisiasa. Kaimu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha SPLM-IO Nathaniel Oyet, ameiambia BBC kwamba mashtaka hayo yanakiuka mkataba wa amani uliotiwa saini mnamo 2018. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw