23 Oct 2025 12:38 pm | Citizen TV 8,183 views Duration: 37:05 ODM inapambana kudumisha umoja wake Urithi aliowaachia hayati raila unapitia mawimbi Suala la ODM kusalia serikalini au la kwenye mizani Kunao wanaosema Hayati Raila alitaka ODM ijipange 2027