Maskauti wataka wahusishwe katika majadiliano ya Genz Z

  • | Citizen TV
    364 views

    Muungano wa Maskauti nchini tayari imependekeza majina mawili kwa waandalizi wa kongamano la kitaifa la kujadili maswala ya uwiano, utangamano na maridhiano kufuatia maandamano yaliyoshuhudiwa mwezi uliopita.