Maskauti wataka warejeshwe kwenye kazi ya kusaidia KWS

  • | Citizen TV
    133 views

    Maskauti waliosimamishwa kazi mwaka 2023 baada ya kuajiriwa mwaka 2021 kwenye utawala wa rais mstaafu Uhuru Kenyatta chini ya mpango wa shirika la wanyama pori kws, wanaitaka serikali kuwarejesha kazini.