Maskwota wa Nguu Tatu Kisauni kaunti ya Mombasa walalamikia kuhangaishwa

  • | Citizen TV
    628 views

    Maskwota katika sehemu ya nguu tatu eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wanalilia haki kufuatia kile wanachodai kuwa uzoefu wa kufurushwa nyakati za usiku na mabwanyenye.