Serikali yatakiwa kufanya kipaumbele elimu kwa walemavu

  • | Citizen TV
    124 views

    Washikadau mbalimbali kutoka eneo la Gusii wanazidi kutoa wito kwa serikali na mashirika yasiyo ya serikali kuyapa kipaumbele masomo ya watoto walio na mahitaji spesheli.