Skip to main content
Skip to main content

Masomo ya gredi 10 yachelewa kufuatia kuchelewa kwa vitabu

  • | Citizen TV
    381 views
    Duration: 3:05
    Masomo katika shule nyingi za sekondari ya juu kote nchini bado hayajaanza kutokana na kucheleweshwa kwa usambazaji wa vitabu vya mtaala mpya wa cbe. Ingawa serikali inasema vitabu vyote vitawafikia wanafunzi kufikia katikati ya mwezi huu, wakuu wa shule wanaonya kuwa uhaba unaoendelea unaweza kuwalazimu walimu kurejea mafunzo ya mfumo wa 8-4-4.