Masuala tata katika mapendekezo ya mradi wa nyumba za bei nafuu nchini

  • | West TV
    22 views
    Huku kamati husika za bunge la taifa zikikamilisha shughuli ya kukusanya maoni ya wananchi na kujiandaa kuandika ripoti itakayowasilishwa bungeni, masuala matatu muhimu yameibuliwa na wakenya kutoka pembe mbalimbali kuhusu uhalali na utaratibu wa mpango wa nyumba za bei nafuu wa serikali ya ras william ruto