Maswali chungu mzima huku Albert Ojwang akifariki ndani ya seli baada ya kukamatwa na polisi

  • | Citizen TV
    31,672 views

    Kifo Tata Cha Mwanablogu Albert Ojwang Alifariki Baada Ya Kukamatwa Jana Alikamatwa Nyumbani Kwao Na Maafisa Wa Usalama Polisi Wanadai Alijigongwa Kichwani Ndani Ya Seli