Skip to main content
Skip to main content

Maswali kuzuka kufuatia kifo cha mzuiliwa kituo cha polisi Mombasa

  • | Citizen TV
    7,538 views
    Duration: 2:26
    Maswali yameibuka kuhusiana na kifo cha mtu mmoja aliyefariki baada ya kuripotiwa kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Central mjini Mombasa. Familia ya Simon Warui inadai kuwa jamaa yao alitoweka jumapili kabla ya kufahamishwa kuwa alikuwa amezuiliwa katika kituo hicho cha polisi. Ripoti ya upasuaji imeonyesha kuwa Warui alifariki kwa ukosefu wa Oksijeni na majeraha kichwani.