Maswali yaendelea kuibuka kuhusu makundi hayo ya watu walioingilia maandamano jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    4,317 views

    Maswali yameendelea kuibuka kuhusu makundi hayo ya watu walioingilia maandamano ya leo huku wakiwa wamejihami na hata kupata ulinzi wa maafisa wa usalama. Kwenye picha za video, inabainika kuwa makundi haya yamepangwa kwa agizo fulani huku wengi wao wakiwa kwenye bodaboda na wengine wakiwa wamebeba mipini na silaha.