Matabibu 6484 kuhudumu katika awamu ya 2025/2026

  • | KBC Video
    21 views

    Wizara ya afya itawapeleka sehemu za uhudumu matabibu wanagenzi 6484 katika awamu ya mwaka 2025/2026 ya wanagenzi hao kufikia Julai Mosi mwaka 2025.Matabibu hao watapelekwa katika vituo vilivyoidhinishwa vya uanagenzi ambako watapokea mafunzo mahsusi ya kazi kwa kipindi cha miezi kumi na miwili, yanayonuiwa kuwapa mafunzo ya utabibu chini ya usimamizi, na vile vile kuwapa uzoefu halisi wa huduma za utabibu hospitalini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive