- 318 viewsDuration: 1:46Baraza la magavana na Maafisa tabibu wametia saini mkataba wa maelewano isiku moja baada ya kukubali kurejea kazini. Kaunti za Nakuru, Nandi na Garissa zimeafikiana kusitisha mgomo na kutia saini maafikiano ya kurejea kazini mara moja. mkataba huo unalenga kusitisha migomo ya mara kwa mara ya matabibu katika kaunti mbalimbali.