- 1,067 viewsDuration: 4:19Kwa mara ya kwanza katika historia, mataifa ya Afrika mashariki, kenya, Uganda na Tanzania, yameshirikiana kuandaa michuano ya mataifa ya CAF, mashabiki wa soka katika ukanda huu wakipata fursa adhimu ya kushuhudia mashindano ya haiba ya juu barani.