- 152 viewsDuration: 3:29Mataifa ya Afrika yamesutwa na wanauchumi kwa kutegemea mikopo kutoka nchi za ng.ambo ili kufanikisha miradi za maendeleo. Wanasema hatua hiyo ni hatari kwa waafrika ambao watalazimika kulipa pesa hizo na viwango vya juu vya riba kwa kutozwa ushuru. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya