Skip to main content
Skip to main content

Mataji 16 ndani ya miaka 5! Siri ya mafanikio ya Hispania ni nini?

  • | BBC Swahili
    26,402 views
    Duration: 2:08
    Ndani ya miaka michache, Hispania imegeuka kuwa taifa linalotawala soka duniani. Kuanzia timu za wanaume, wanawake hadi vijana, Hispania imeendelea kuonyesha ubora wake kwenye ngazi zote. Sasa imeandika historia tena kwa kutwaa taji la Kombe la Dunia baada ya kuifunga Argentina 1-0 katika fainali iliyochezwa New Jersey. Je, ni nini kinachoifanya Hispania kuwa na nguvu kubwa katika soka la dunia? @ahmedbahajj anaelezea. - - #bbcswahili #kombeladunia #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw