Skip to main content
Skip to main content

Matakwa ya wabajuni Kilifi

  • | Citizen TV
    159 views
    Duration: 1:29
    Jamii ya Wabajuni ukanda wa pwani Sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya kilifi kuwatambua rasmi na kuwapa nyadhifa za uongozi . Kulingana na kiongozi wao Sultan Omar Sharif , katika hafla iliyoandaliwa mjini Malindi Kaunti ya Kilifi, jamii hiyo inasema Kwa muda mrefu serikali mbalimbali zimewapuuza na kuwatenga kwa miradi ya maendeleo.