Je vita vya Ukraine na Urusi huenda vikamalizika hivi karibuni ? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,710 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amefanya mkutano katika jimbo la Michigan akisifia mafanikio yake ndani ya siku mia moja za kuwa madarakani, ambazo anadai kuwa ni siku zenye mafanikio zaidi katika historia ya Marekani.