Marekani yaiondolea Syria vikwazo, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,915 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na kiongozi mpya wa Syria - Ahmed al-Sharaa - wakati akiendelea na ziara yake katika nchi za Kiarabu. Ni mara ya kwanza kwa viongozi wa nchi hizo mbili kukutana katika kipindi cha miaka ishirini na mitano. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw